15 March 2014

KILA LA HERI WANAKALENGA

Ndugu zangu nawasalimia
Ni imani yangu kwamba wengi wenu muwazima wa afya tele mkitarajia amani na upeendo wa Mungu uendelee kuwafunika kwa kila jambmo maishani mwenu.
Salam zangu za leo kwenu wanakalenga ni kuwatakia uchaguzi wenye amani ambao utawawezesha kuwapatia mwaklishi wenu.
katikauchaguzi hila zinakuwwepo ila zikataeni simameni kidete kuhakiksha mnapata mwakiishi wenu na sio wa kupandikiz. Jitokezei kwa wingi pigeni kura lindeni kura zenu hadi matokeo yatangazwe kisha kiungwana wote mkubaliane naatakayeibuka kidedea kwa pamoja muendelee kuijenga Kalenga.

MUNGU AWABARIKI

No comments:

Post a Comment