katika siku za usoni wimbi la wanaojiita watetezi wa ndoa za jinsia moja kote ulimwenguni.
Baadhi ya nchi za Afrika zimepinga huku nyingine zikiwa kimya bila kuonesha kwamba wameeegemea upande gani.
Akihojiwa na mtangazaji wa cnn raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzaniai Jakaya Kikwete alisema ndoa za jinsia moja haiwezekani kwa sasa kuziruhusu kwa nchi yetu.
Kama watu tunaoathirika kwa namna moja ama nyingine na suala hili tujkulize nn mchango katika kuzuia na kukemea jambo hili katika jamii tunayoishi?
Leo jambo hili linazungumzwa kila mahali, watu wengi wanajihusisha na mambo hayo na wapo kwenye jamii na tunawafaham japo hatufanyi lolote.
Ikiwa haya tunayaona na kuyafumbia macho je kuna usalama kwavizazi vijavyo? tunawalinda vipi watoto wetu wasijihusishe na laana hii?Je tunawalinda na madhila haya? Ni wangapi wanajua nia aina gani ya vipindi vya televishen pamoja na filamu wanazoangalia watoto?
Tuwe macho maana tusipokuwa makinni tutajuta muda si mrefu
No comments:
Post a Comment