Jana usiku watu wasojulikana wamemuua mfanyabiashara maeneo ya mnazi kiborlon moshi mjini. Mfanyabiashara huyo marufu kwa jina la Ray c inasemekana ameuwawa kwa kupigwa risasi na watu hao ambao hawajapatikana na haieleweki walikimbilia wapi baada ya kutimiza adhma yao hiyo ovu.
Binafsi nimeumia sana kwa tukio hlo la kinyama sana. Ninatoa pole kwa familia maana kifo kama hki kinaumiza sana.
Hakika kwangu mimi imeniuma bali najiuliza usalama wetu kama raia wa Tanzania uko wapi kwa hali kama hii?
Wito wangu kwa serikali ni kuhakikisha wauaji wanakamatwa na kuchukuliwa hatua. pili serikali ichukue nafasi kuwalinda raia na kuhakikisha raia wenyewe wanaajua haki zao na wajibu wao katika kujinda.
TUSICHUKULIE TUKIO KAMA HILI KAMA SWALA LLA KAWAIDA LA KUSIKITIKA KUOMBOLEZA NA KUSAHAU AFU MAISHA YAENDELEE. HAPANA LAZIMA HATUA ZA ZIADA ZICHUKULIWE
No comments:
Post a Comment