09 April 2014

MENGI YANATUKUATA

Namshukuru Mungu kwa kunipa nguvu na kunijalia aakilia na utashi leo naandika. Nadiriki kusema ni neema zakemaana kila siku nlikua nataman niandike chochote lakin sikuweza maana Mwenyezi Mung hakunipa kibali japo alinipa afya na uhai.Mungu ni mwema na fadhili zake zadumu hata milele

No comments:

Post a Comment