wamiliki wa blog tunatakiwa tuwe wastaarab na pia kuzingatia kuwa hii ni njia moja wapo ya kuwalisha wasomaji habariambazo wanazitafta kila sikubinafsi naona umuhm sana wa blog kwa sabab mara nying sina sababa za kununua gazeti kwan hadi gazeti lichapishwe mengi nakua nshayasoma.
kuna changamoto nyingi kwenye blogs za kibongo ni nyingisana ila nawakilisha moja tu ambayo inanikera
utakuta kichwa cha habari kimeandikwa "breaking news" unasoma fasta unakuta ni habariushaisoma ni siku ya tatu au wiki ishapita mbaya zaidi habari yenyewe ni "copy and paste"
kama unataka kuweka matukio mbalimbali yanayoukia kwenye blog yako ni vema ukatafata habari sio kuweka habari mfu na kuzita breaking news hapa.
najua na nina uhakika kila blog ina wasomaji wake ila mimi nawashauri taften habari mziweke kwa muda muafaka zikiwa za moto na hii itaondoa swala la "copy and paste"
No comments:
Post a Comment