Bunge la kupiga mhuri hoja za serikali ni hatari sana kwa ustawi wa nchi.
Kazi yangu mimi ni mwalimu, kazi hii ni nzuri kama ukiipenda kutoka moyoni na ukipata wanafunzi ambao wanakupa changamoto inapendeza sana. kila siku utakuwa unafurahia kuwa darasani na wanafunzi wako.
Kwa mfano wanafunzi wanapokuwa wanakuuliza masal mengi na yenye changamoto unajua kabisa wanafunzi wako wanakuelewaw na wanajua watendalo. wanajua kwanini wako darasani. Ukikosea wanakukosoa wanakupa changamoto za kazi yako nawe unaweza kujitathmin kwa kazi yao na uwezo wako kwako,.: Ukiktana na wanafunzi na aina hii kama hauko vizuri utaichikia kazi yako na hata kuamua kuiacha.
Ikiwa wewe ni mwalimu mzuri afu ukakuta wanafunzi hawaulizi mwannzowa somo adi mwisho hata ukikosea hawagundui kaw kila kitu hapo subiri divisheni five kwa wingi.
Natazama bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania naona kuna shida maana wabunge waliopewakazi ya kuihoji serikali wamekuwa wakichukua nafasi ya kuipongezau serikali hiku wakilalamika sana kwa mambo ambayo serikai haijayatimiza. Kwa mtaji huu seriali itayarekebishaje zaidi ya kufurai kwa bajeti yake kupitishwa? hapa ni division five tu hamna kitu
No comments:
Post a Comment